Tuesday, December 8, 2009

Swahili Song for kids Simama Kaa!


-->
Simama kaa song
Maana/Meaning!
  1. Simama – stand up
  2. Kaa -- sit down
  3. Ruka – jump!
  4. Tembea - Walk
Simama kaa, Simama kaa
Ruka, ruka, ruka, simama kaa.
Simama kaa, simama kaa,
Ruka, ruka, ruka, simama kaa.
Tembea kimbia kimbia,
Tembea kimbia kimbia,
Simama kaa, simama kaa,
Simama kaa, simama kaa,
Ruka, ruka, ruka, simama kaa
Simama kaa, simama kaa

For more information email matondokids@gmail.com
By Ariana Matondo